2 Samueli 18:23 BHN

23 Ahimaasi akamwambia, “Haidhuru; nitakimbia.” Basi, Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia.” Kisha Ahimaasi akakimbia akifuata njia ya nyikani akawahi kumpita yule Mkushi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:23 katika mazingira