2 Samueli 18:24 BHN

24 Daudi alikuwa ameketi kati ya malango mawili ya mji. Naye mlinzi wa lango akapanda ukutani hadi juu ya lango na alipoinua macho yake aliona mtu anakimbia peke yake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:24 katika mazingira