2 Samueli 18:25 BHN

25 Huyo mlinzi akapaza sauti akamwambia mfalme. Mfalme akasema, “Kama yuko peke yake, lazima ana habari.” Yule mtu akazidi kukaribia.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:25 katika mazingira