2 Samueli 18:31 BHN

31 Ndipo na yule Mkushi akafika; naye akasema, “Kuna habari njema kwako bwana wangu mfalme! Maana Mwenyezi-Mungu leo hii amekukomboa kutoka nguvu za wale wote walioinuka dhidi yako.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:31 katika mazingira