2 Samueli 18:32 BHN

32 Mfalme akamwuliza, “Je kijana Absalomu hajambo?” Mkushi akasema, “Maadui wako, bwana wangu mfalme, pamoja na wote wanaoinuka dhidi yako wakikutakia mabaya, wawe kama huyo kijana Absalomu.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:32 katika mazingira