2 Samueli 18:5 BHN

5 Mfalme akawaamuru Yoabu, Abishai na Itai, “Kwa ajili yangu, mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole.” Watu wote walimsikia mfalme alipoamuru makamanda wake kuhusu Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:5 katika mazingira