2 Samueli 18:6 BHN

6 Hivyo, jeshi la Daudi likaenda nyikani kupigana na watu wa Israeli. Mapigano hayo yalifanyika katika msitu wa Efraimu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:6 katika mazingira