10 Tena Absalomu ambaye tulimpaka mafuta awe mfalme wetu, sasa ameuawa vitani. Sasa, kwa nini hatuzungumzii juu ya kumrudisha mfalme Daudi?”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 19
Mtazamo 2 Samueli 19:10 katika mazingira