2 Samueli 19:9 BHN

9 Watu wote walikuwa wanashindana wao kwa wao katika makabila yote ya Israeli, wakisema, “Mfalme Daudi alitukomboa mikononi mwa adui zetu, alituokoa mikononi mwa Wafilisti. Lakini sasa ameikimbia nchi, akimkimbia Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:9 katika mazingira