2 Samueli 19:31 BHN

31 Barzilai Mgileadi alikuwa amefika kutoka Rogelimu. Alikuwa amekwenda pamoja na mfalme kwenye mto Yordani ili kumsindikiza hadi ngambo ya mto.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:31 katika mazingira