2 Samueli 19:32 BHN

32 Barzilai alikuwa mzee sana, mwenye umri wa miaka themanini. Naye Barzilai alikuwa amemtunza mfalme alipokaa huko Mahanaimu, kwa kuwa alikuwa tajiri sana.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:32 katika mazingira