2 Samueli 2:20 BHN

20 Abneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaheli, alimwambia, “Je, ni wewe Asaheli?” Yeye akamjibu, “Naam, ni mimi.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:20 katika mazingira