2 Samueli 2:21 BHN

21 Abneri akamwambia, “Geukia kulia au kushoto, umkamate kijana mmoja na kuchukua nyara zake.” Lakini Asaheli hakuacha kumfuatia.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:21 katika mazingira