24 Lakini Yoabu na Abishai walimfuatia Abneri. Jua lilipokuwa linatua, wakafika kwenye mlima wa Ama, ulioko mashariki ya Gia, katika barabara iendayo jangwa la Gibeoni.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 2
Mtazamo 2 Samueli 2:24 katika mazingira