2 Samueli 2:25 BHN

25 Watu wa kabila la Benyamini wakajikusanya pamoja wakawa nyuma ya Abneri, hivyo wakaunda kikosi chao; nao wakasimama juu ya mlima.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:25 katika mazingira