2 Samueli 2:6 BHN

6 Sasa, Mwenyezi-Mungu awafadhili na kuwa mwaminifu kwenu. Nami nitawatendea mema kutokana na jambo mlilolitenda.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:6 katika mazingira