7 Lakini muwe imara na mashujaa. Shauli, bwana wenu, amekufa, na watu wa Yuda wamenipaka mafuta niwe mfalme wao.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 2
Mtazamo 2 Samueli 2:7 katika mazingira