2 Samueli 20:10 BHN

10 Lakini Amasa hakuona upanga uliokuwa mkononi mwa Yoabu. Basi, Yoabu akamchoma Amasa upanga tumboni, matumbo yake yakatoka nje, akafa. Yoabu hakumchoma upanga mara mbili.Kisha, Yoabu na nduguye Abishai wakaendelea kumfuatilia Sheba mwana wa Bikri.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:10 katika mazingira