2 Samueli 20:11 BHN

11 Mtu mmoja wa Yoabu akaja akasimama karibu na mwili wa Amasa, akasema, “Yeyote anayempenda Yoabu na yeyote anayempenda Daudi, na amfuate Yoabu!”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:11 katika mazingira