2 Samueli 20:17 BHN

17 Yoabu akaenda karibu naye, huyo mwanamke akamwambia, “Je, wewe ni Yoabu?” Yoabu akasema, “Naam! Ni mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Nisikilize mimi mtumishi wako.” Yoabu akamwambia, “Nasikiliza.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:17 katika mazingira