2 Samueli 20:6 BHN

6 Daudi akamwambia Abishai, “Sasa, Sheba mwana wa Bikri, atatuletea madhara kuliko Absalomu. Chukua watumishi wangu, umfuatie Sheba asije akaingia kwenye miji yenye ngome akaponyoka, tusimwone tena.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:6 katika mazingira