2 Samueli 20:7 BHN

7 Abishai akatoka akiwa pamoja na Yoabu, Wakerethi na Wapelethi pamoja na mashujaa wote. Hao wote waliondoka Yerusalemu kwenda kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:7 katika mazingira