2 Samueli 22:16 BHN

16 Mwenyezi-Mungu alipowakemea,kutokana na pumzi ya puani mwake,vilindi vya bahari vilifunuliwa,misingi ya dunia ikaonekana.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 22

Mtazamo 2 Samueli 22:16 katika mazingira