2 Samueli 22:17 BHN

17 “Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua,kutoka kwenye maji mengi alininyanyua.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 22

Mtazamo 2 Samueli 22:17 katika mazingira