18 Aliniokoa kutoka kwa adui yangu mwenye nguvu,aliniokoa kutoka kwa hao walionichukiamaana walikuwa na nguvu nyingi kunishinda.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 22
Mtazamo 2 Samueli 22:18 katika mazingira