2 Samueli 22:3 BHN

3 Mungu wangu, mwamba wangu, ninayemkimbilia usalama;ngao yangu, nguvu ya wokovu wangu,ngome yangu na kimbilio langu.Mwokozi wangu; unaniokoa kutoka kwa watu wakatili.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 22

Mtazamo 2 Samueli 22:3 katika mazingira