51 Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa;humwonesha fadhili zake huyo aliyemweka wakfu,naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 22
Mtazamo 2 Samueli 22:51 katika mazingira