2 Samueli 23:1 BHN

1 Yafuatayo ni maneno ya mwisho ya Daudi. Ni ujumbe wa Daudi mwana wa Yese; ujumbe wa mtu ambaye Mungu alimfanya awe mkuu. Mungu wa Yakobo alimteua Daudi kuwa mfalme na maneno yake Waisraeli walifurahi kuyaimba.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:1 katika mazingira