11 Shujaa wa tatu alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walikusanyika huko Lehi, mahali palipokuwa na shamba la dengu nyingi, nao Waisraeli waliwakimbia Wafilisti.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 23
Mtazamo 2 Samueli 23:11 katika mazingira