2 Samueli 23:12 BHN

12 Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:12 katika mazingira