2 Samueli 23:13 BHN

13 Kisha, mashujaa watatu kati ya wakuu thelathini waliteremka wakati wa mavuno wakamfikia Daudi kwenye pango huko Adulamu. Wakati huo jeshi la Wafilisti lilikuwa limepiga kambi katika bonde la Refaimu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:13 katika mazingira