2 Samueli 23:17 BHN

17 akisema, “Kamwe, sina haki ya kunywa maji haya, ee Mwenyezi-Mungu; je, haya si kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kuyaleta maji haya?” Kwa hiyo, Daudi hakuyanywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:17 katika mazingira