2 Samueli 23:18 BHN

18 Abishai nduguye Yoabu, mwana wa Seruya, alikuwa mkuu wa mashujaa thelathini. Yeye alipigana kwa mkuki wake dhidi ya watu 300, akawaua, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:18 katika mazingira