2 Samueli 23:19 BHN

19 Je, huyo hakuwa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa watatu? Kwa hiyo akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:19 katika mazingira