2 Samueli 23:20 BHN

20 Naye Benaya mwana wa Yehoyada, kutoka Kabzeeli, alikuwa askari shujaa ambaye alifanya mambo mengi ya ajabu. Aliwaua mashujaa wawili kutoka Moabu, na siku moja wakati wa theluji, alishuka shimoni na kuua simba.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:20 katika mazingira