2 Samueli 23:21 BHN

21 Vilevile, aliliua jitu la Misri. Mmisri huyo alikuwa na mkuki, lakini Benaya alimwendea akiwa na fimbo tu, akamnyanganya mkuki huo, na kumwua Mmisri huyo kwa mkuki wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:21 katika mazingira