2 Samueli 3:25 BHN

25 Je, unajua kuwa Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya? Alikuja ili ajue mienendo yako na yale unayoyafanya.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:25 katika mazingira