26 Yoabu alipotoka kuzungumza na Daudi, alituma wajumbe wakamlete Abneri, nao wakamkuta kwenye kisima cha Sira na kumrudisha, lakini Daudi hakujua jambo hilo.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 3
Mtazamo 2 Samueli 3:26 katika mazingira