2 Samueli 3:27 BHN

27 Abneri aliporudi Hebroni, Yoabu alimchukua kando kwenye lango kana kwamba anataka kuzungumza naye kwa faragha. Hapo Yoabu akamkata Abneri tumboni kwa sababu Abneri alikuwa amemuua Asaheli ndugu yake, na Abneri akafa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:27 katika mazingira