35 Kisha, watu wote walikwenda kumshawishi Daudi ale mkate wakati ulipokuwa bado mchana. Lakini Daudi aliapa akawaambia, “Mungu na aniue ikiwa nitaonja mkate au kitu chochote hadi jua litakapotua.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 3
Mtazamo 2 Samueli 3:35 katika mazingira