2 Samueli 3:36 BHN

36 Watu wote waliyaona mambo hayo, nao walipendezwa; kama vile kila kitu alichofanya mfalme kilivyowapendeza.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:36 katika mazingira