2 Samueli 3:39 BHN

39 Ijapokuwa mmenipaka mafuta ili niwe mfalme, lakini leo mimi ni mnyonge. Hawa wana wa Seruya ni wakatili kupita kiasi. Mwenyezi-Mungu na awaadhibu waovu hawa sawasawa na uovu wao.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:39 katika mazingira