2 Samueli 4:1 BHN

1 Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 4

Mtazamo 2 Samueli 4:1 katika mazingira