2 Samueli 3:7 BHN

7 Shauli alikuwa na suria mmoja aitwaye Rispa, binti Aya. Basi, wakati mmoja, Ishboshethi akamwuliza Abneri, “Kwa nini umelala na suria wa baba yangu?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:7 katika mazingira