2 Samueli 5:13 BHN

13 Daudi alijitwalia masuria na wake zaidi wa huko mjini Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni. Hao, wakamzalia watoto zaidi wa kiume na wa kike.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:13 katika mazingira