2 Samueli 5:14 BHN

14 Yafuatayo ndiyo majina ya watoto wa kiume, wake zake waliomzalia huko Yerusalemu: Shamua, Shobabu, Nathani, Solomoni,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:14 katika mazingira