2 Samueli 5:2 BHN

2 Hapo awali, Shauli alipokuwa mfalme wetu wewe ndiwe uliyewaongoza Waisraeli vitani, na Mwenyezi-Mungu alikuambia ‘Utakuwa mchungaji wa watu wangu Israeli na utakuwa mkuu juu ya Israeli.’”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:2 katika mazingira