3 Basi, wazee wote wa Israeli wakamwendea mfalme Daudi huko Hebroni; naye akafanya agano nao mbele ya Mwenyezi-Mungu, halafu wakampaka Daudi mafuta awe mfalme wa Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 5
Mtazamo 2 Samueli 5:3 katika mazingira