2 Samueli 6:19 BHN

19 na akawagawia watu wote, kundi lote la Waisraeli, wanaume na wanawake, kila mmoja, mkate, kipande cha nyama na mkate wa zabibu. Baadaye, watu wote waliondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:19 katika mazingira