2 Samueli 6:18 BHN

18 Daudi alipomaliza kutoa tambiko za kuteketezwa na za amani, aliwabariki watu kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:18 katika mazingira